Saturday, December 31, 2016

FULL TIME EPL: LIVERPOOL 1 v 0 MANCHESTER CITY, GEORGINIO WIJNALDUM AIFUNGIA BAO LA MWAKA LIVERPOOL, CITY WAZIMIKA!

Georginio Wijnaldum akipongezwa na wenzake mapema dakika ya 8 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, EPL. Liverpool wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Man City na ushindi huu unawapandisha Liverpool nafasi ya pili wakiwa na alama 43 nyuma ya alama 6 kutoka kileleni kwa Vinara Chelsea ambao wana alama 49. City wao wamebaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 39.1-0