Sunday, December 11, 2016

FULL TIME: LIVERPOOL 2 v 2 WEST HAM UNITED

Dimitri Payet akipeta!
Hadi mapumziko Liverpool 1 vs 2 West Ham United

Dimitri Payet dakika ya (27') kipindi cha kwanza ameisawazishia bao West Ham kwa kufanya 1-1. Dakika ya 39 Michail Antonio aliwapa bao West Ham na kufanya tena watangulie wao mbele ya Majogoo Liverpool kwenye uwanja wao wa Anfield.
Adam Lallana dakika ya 5 amewapa bao la kwanza la kuongoza dhidi ya Timu ya West Ham United ambayo ipo nafasi ya 18 kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Engaland.