Sunday, December 4, 2016

U-20: STAND UNITED FC WAIZIMA YANGA KAITABA LEO KWA SARE YA 1-1, STAND UNITED SASA NI WAO NA AZAM FC KWENDA NUSU FAINALI!
1-1 Mchezaji wa Stand United Stanley Angelo ndie aliyesawazisha bao dakika ya 82Vijana wa Yanga...wakiwa hoi baada ya Timu ya Stand kusawazisha dakika za mwishoni