Thursday, December 1, 2016

U20:KAGERA SUGAR WATUNGULIWA BAO 1-0 NA STAND UNITED, MATUMAINI YA KUSONGA MBELE YAYEYUKA!!

Wachezaji wa U-20 wakishangilia bao lililozama hadi nyavuni kwa mpira wa adhabu kipindi cha pili


Wachezaji wa U-20 Kagera Sugar kabla ya Mtanange kuanza.


Kikosi cha U-20 Kagera Sugar kilichoanza dhidi ya Timu ya Stand United ya Jijini Mwanza

Kikosi cha Timu ya U-20 Stand United


Katikati ni Kocha wa Kagera akitoa jambo kwa mchezaji wake ili waboreke kiushambuliaji na kujipatia matokeo chanya

Wachezaji wa U-20 wakishangilia bao lililozama hadi nyavuni kwa mpira wa adhabu kipindi cha pili1-0
Hoi!! Dakika 90 wakanyukwa bao 1-0

Hoi