Monday, December 5, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MECHI ZA MWISHO MAKUNDI, 7 ZAWANIA NAFASI 4 ZILIZOBAKI

UEFA CHAMPIONS LIGI,  Hatua ya Makundi, inafikia tamati Jumanne na Jumatano hii na tayari Timu 12 zimeshafuzu Hatua ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na kubakisha Timu 7 kugombea Nafasi 4 zilizobaki. KUNDI KWA KUNDI:
-Timu 2 toka kila Kundi, toka Makundi 8, ndizo zitasonga Raundi ya Mtoano ya Timu 16, na Timu zinazomaliza Nafasi ya 3, zitatupwa Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya UEFA EUROPA LIGI.

TIMU ZILIZOFUZU RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Atlético Madrid*
Barcelona*
Leicester City*
Monaco*
Arsenal
Bayer Leverkusen
Bayern München
Borussia Dortmund
Juventus
Manchester City
Paris Saint-Germain
Real Madrid

TIMU 7 AMBAZO ZINAWEZA KUFUZU [NAFASI 4 ZIMEBAKI]:
Sevilla
Lyon
Porto
København
Benfica
Napoli
Beşiktaş