Monday, December 26, 2016

WATFORD 1 vs 1 CRYSTAL PALACE, BIG SAM AANZA KIBARUA KIPYA KWA SARE UGENINI!

Sam Allardyce Heurelho Gomes wa Watford akipagawa baada ya kumfanyia adhabu Christian Benteke... Lakini mlinda mlango huyo  Gomes then aliokoa mkwaju wa penati uliopigwa na Benteke