Saturday, January 28, 2017

AFCON 2017: BURKINA FASO 2 vs 0 TUNISIA, BANCE NA NAKOULMA WAWATEPESHA TUNISIA DAKIKA ZA LALA SALAMA NA KUSONGA HATUA YA NUSU FAINALI!

Moja kwa moja Kutoka kwenye Uwanja wa Stade d'Angondje
Burkina Faso wanaongoza bao 2-0 dhidi ya Timu ya Tunisiakwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali.

http://cdn-sabreakingnews.365.co.za/content/uploads/2017/01/23090753/Burkina-Faso1.jpg
Bao za Burkina Faso zimefungwa dakika za mwishoni kipindi cha pili kupitia kwa
A. Bancé dakika ya 81'
P. Nakoulma dakika ya 84'