Tuesday, January 17, 2017

AFCON 2017: UGANDA WAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA GHANA.

Bao hilo la pekee lilifungwa na dakika ya 30 kwa mkwaju wa penati na André Ayew hivyo kuwafanya Ghana kumaliza dakika 90 wakiwa Kidedea kwa bao 1-0 dhidi ya Uganda.http://i2.mirror.co.uk/incoming/article9639823.ece/ALTERNATES/s810/Ghanas-forward-Andre-Ayew-C-celebrate.jpghttps://i.guim.co.uk/img/media/ee6335b86f739e7d3be09f584932de6ee7b42f4f/0_0_3714_2476/master/3714.jpg?w=620&q=55&auto=format&usm=12&fit=max&s=924d9d49cc9d7eab401a1ee3f752a239
Image result for uganda 0 v 1 ghana  AFCON 2017