Saturday, January 28, 2017

ENGLISH FA CUP, ROUND 4: LIVERPOOL 0 v 2 WOLVERHAMPTON WANDERERS, KLOPP APIGWA TENA

Liverpool wanyooshwa tena! wafungwa bao 2-1 na Klabu inayocheza Ligi ya Chini.Andreas Weimann2-0 Wolverhampton Wanderers wanaongoza dhidi LiverpoolRichard Stearman Liverpool bado wako nyuma ya bao 1-0. Wolverhampton Wanderers tayari wanaongoza bao dhidi ya Liverpool kwa bao la dakika ya 1 la Richard Stearman.