Saturday, January 28, 2017

ENGLISH FA CUP: SOUTHAMPTON 0 vs 5 ARSENAL

Danny Welbeck
Bao za Arsenal zimefungwa na
Danny Welbeck (15', na dakika ya 22')

Theo Walcott alifunga bao tatu

Huko Saint Mary, Arsenal waliitwanga Southampton Bao 5-0 kwa Bao za Danny Welbeck, Bao 2, na Theo Walcott, Bao 3.