Sunday, January 29, 2017

FULL TIME, VPL: YANGA 2 vs 0 MWADUI KATIKA UWANJA WA TAIFA


Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akipimana ubavu na Malika Ndeule wa Mwadui Fc, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, unaendelea kuchezwa hivi sasa katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga inaongoza kwa bao 1-0.

Kipa wa Mwadui, Shaaban Kado akijiandaa kuupiga mpira.