Saturday, January 21, 2017

FULL TIME EPL: LIVERPOOL 2 v 3 SWANSEA CITY, MAJOGOO YAKAMATWA KWAO!Bao za liverpool zilifungwa na Roberto Firmino dakika ya (55' na dakika ya 69') Huku bao za Swansea City zikifungwa na Fernando Llorente dakika ya (48' na dakika ya 52')
Kipindi cha pili Gylfi Sigurdsson akiwafungia bao la ushindi dakika ya (74') na mtanange kumalizika dakika 90 kwa Swansea kujikwamua mkiani na kupanda juu na kuwashangaza Mashabiki wa Majogoo na kwenye Uwanja wao.