Saturday, January 14, 2017

FULL TIME: LEICESTER CITY 0 vs 3 CHELSEA, COSTA NJE! BLUES WAWANYUKA MABINGWA LEICESTER!

Marcos Alonso
CHELSEA, wakicheza bila Mfungaji wao mkuu Diego Costa, wamepaa Pointi 7 juu kileleni mwa EPL, Ligi Kuu England, baada  kuwafunga Mabingwa Watetezi Leicester City 3-0 huko King Power Stadium.
Costa ambae anadaiwa kufarakana na Timu ya Madaktari wa Viungo wa Timu hiyo kuhusu madai ya kuumia huku kukiwepo ripoti za kushinikiza kuhamia China alitemwa kabisa kwenye Kikosi cha Chelsea cha Mechi hii.
Chelsea ilipiga Bao zake 3 kupitia Marcos Alonso, Bao 2, na Pedro.
Usjindi huo umewaweka Chelsea kileleni wakiwa na Pointi 52 kwa Mechi 21 wakifuata Tottenham wenye Pointi 45 kwa Mechi 21.
Marcos Alonso VIKOSI VILIVYOANZA:
Leicester (Mfumo 3-5-2):
Schmeichel; Morgan, Huth, Fuchs; Albrighton, Drinkwater, Ndidi, Mendy, Chilwell; Vardy, Musa
Akiba: King, Kapustka, Simpson, Okazaki, Zieler, Gray, Wasilewski
Chelsea (Mfumo 3-4-3): Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill; Moses, Kante, Matic, Alonso; Willian, Hazard, Pedro
Akiba: Begovic, Ivanovic, Fabregas, Zouma, Loftus-Cheek, Batshuayi, Chalobah
Marcos Alonso 1-0 Chelsea wanaongoza mpaka sasaDiego Costa and Pedro