Wednesday, January 18, 2017

TASWIRA KATIKA PICHA: MTANANGE WA KAGERA SUGAR WAKISHINDA BAO 2-1 DHIDI YA AFRICAN LYON KAITABA BUKOBA LEO.

Wafungaji ni Amadi Manzi wa African Lyon bao la kujifunga dakika ya 3 kipindi cha kwanza.  Kipindi cha pili dakika ya 47 Ally Nassoro Ufudu alifunga na kufanya Kagera kuongoza bao 2-0 na Dakika ya 63 Abdallah Mugui aliwafungia bao la kufutia machozi African Lyon na mtanange kumalizika kwa bao 2-1. Picha zote na Faustine Ruta