Monday, January 30, 2017

VPL : KAGERA SUGAR 2 vs 1 MTIBWA SUGAR, MBARAKA YUSUPH AENDELEA KUZIFUMANIA NYAVU!

Kikosi cha timu ya Mtibwa leo kilichoanza Dhidi ya Kagera Sugar. Picha na Faustine Ruta
Bao za Kagera Sugar leo zimefungwa na Mbaraka Yusuph dakika ya 29 kipindi cha kwanza na bao la pili lilifungwa na Ibrahim Twaha dakika ya 53 huku Mtibwa Sugar wakipatiwa bao lao la kufutia machozi na mchezaji wake Stamil Mbonde dakika ya 79.
2-0

Uwanja wa Kaitaba