Sunday, February 26, 2017

YANGA WALIVYOFUNIKWA NA SIMBA 10 UWANJANI...TAIFA. SHIZZA KICHUYA SHUJAA!

SHIZZA Kichuya jana alikuwa shujaa wa Simba baada ya kuifungia bao la ushindi katika mechi ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga iliyochezwa kwenye uwanja waTaifa Dar es Salaam.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi hiyo ya raundi ya pili na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 54 juu ya mabingwa watetezi Yanga wenye pointi 49 lakini wakiwa na mchezo kibindoni.
Kichuya aliyeingia uwanjani katika dakika ya 51 kuchukua nafasi ya Novaty Lufunga alifungabaohilokwashuti kali njeya 18 nakuipatimuyakepointitatumuhimukatikambiozaubingwaambaohaujatuamtaawaMsimbazikwakwakaribumwakawannesasa.
MchezajihuyoanaifungamarayapiliYangamsimuhuu, maraya kwanza ilikuwakwenyemechiyaraundiya kwanza OktobaMosimwakajanaalipofungabao la kusawazishatimuhizozilipotokasareyabao 1-1.
Katikamechiyajana, Simbaililazimikakuchezapungufukaribukipindichote cha pilibaadayamwamuzi Mathew AkramawaMwanzakumtoanjekwakadinyekunduBeselaBukungualiyemtendeamadhambiObreyChirwaaliyekuwaakielekeakufungabao la piliwakatiYangaikiwambelekwabao 1-0.
Yangandioilikuwaya kwanza kupatabao la kuongozakatikadakikayatanoyamchezohuokwamkwajuwapenaltiiliyotolewanamwamuziAkramabaadayaLufungakumchezeavibayakwenyeeneo la hatariChirwa.
Bao hilo liliichanganya Simba ambayo sasa wachezaji wake walionekanakutotuliauwanjaninakatikadakikaya 26 benchi la ufundichiniyakocha wake Mkuu Joseph OmoglilifanyamabadilikokwakumtoaJumaLuizionanafasiyakekuchukuliwana Said Ndemla.
DakikatatubaadaeLauditMavugoanaikoseshaSimbabaoakiwakwenyenafasinzuriyakufungalakinianapigampirapembeni.
Simbailikuwananafasinyingineyakupatabao la kusawazishakatikadakikaya 35 baadayamwamauzikuwapampirawaadhabunjeya 18 lakiniNdemlaalipaishampirahuo.
Hata hivyopamojanakubakipungufukuanziadakikaya 55 kwakutolewaBukungu, Simbailiendeleakuimarikanakatikadakikaya 66, nyotayaMrundiMavugoiliendeleakung’arabaadayakufungabao la kusawazishakwakichwaakiunganishampirawaShizzaKichuya.
HiyonimechiyannemfululizokwaMavugokufungakatikamichuanoyotekwaSimbatangualipoanzakuchezadakika 90. Awalialikuwaakiingiadakikazamwishonimwakipindi cha pilinaalioenekanahanamchangowatimumpakabenchi la ufundililipoamuakufanyamabadilikonakumuanzishakwadakikazote.
AidhakatikamechihiyobaadayaSimbakuwambelekwamabao 2-1 baadhiyamashabikiwapandezotembiliwalizimiakwanyakatitofauti, mashabikiwaSimbawakizimiakwafurahanaYangakwamajonzi.
KablayamechikuanzawachezajiwatimuzotewalisimamakwadakikamojakumkumbukaaliyekuwamchezajiwaYanganaTaifa Stars Geofrey Bonny aliyefarikidunia wiki iliyopita.
Yanga: DeogratiusMunishi ‘Dida’, Kelvin Yondani, Juma Abdul, Vincent Andrew, HarunaNiyonzima, Amis Tambwe/ Deus Kasekedk 70, ObreyChirwa, ThabanKamusoko/JumaMakapudk 44, Justine Zullu/ JumaMahadhidk 78, Mwinyi Haji, Simon Msuva.
Simba: Daniel Agyei, Abdi Banda, Mohamed Hussein, BeselaBukungu, NovaltyLufunga/ ShizzaKichuyadk 51, James Kotei, Ibrahim Ajib, LauditMavugo, Mohamed Ibrahim/Jonas Mkudedk 57, MzamiruYassin, JumaLuizio/Said Ndemladk 26.