Saturday, March 18, 2017

ASFC: KAGERA SUGAR vs MBAO FC, LEO KWENYE UWANJA WA KAITABAWachezaji wa Timu ya Mbao Fc wakiwa na Kocha wao kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba ijumaa wakijiandaa na mtanange wao na Wenyeji Kagera Sugar siku ya jumamosi kwenye Kombe la ASFC Azam Sports Federation Cup.