Tuesday, March 28, 2017

CRISTIANO RONALDO ATINGA 4 BORA YA WAFUNGAJI BORA KIHISTORIA ULAYA

Image result for cristiano ronaldoJANA Mchezaji Bora Duniani Cristiano Ronaldo alifunga Bao 2 wakati Portugal inailaza Hungary 3-0 katika Mechi ya Kundi lao la Ulaya la kutinga Fianali za Kombe la Dunia za 2018 huko Russia na kufikisha Jumla ya Mabao 70 ya Mechi za Kimataifa akiichezea Nchi yake.
Bao hizo zimemfanya Ronaldo awapiku Robbie Keane na Gerd Müller na kishika Nafasi ya 4 katika Wafungaji Bora wa Kimataifa Barani Ulaya.
Walio mbele ya Ronaldo kwa Bao nyingi ni Miroslav Klose mwenye 71, Sandor Kocsis, 75, na anaeongoza Ferenc Puskás mwenye 84.


ULAYA - WAFUNGAJI.BORA:
Ferenc Puskás (Hungary & Spain) – Bao 84 Mechi 89
Sándor Kocsis (Hungary) – 75 Mechi.68
Miroslav Klose (Germany) – 71 Mechi 137
Cristiano Ronaldo (Portugal) – 70 Mechi 137
Gerd Müller (West Germany) – 68 Mechi 62
Robbie Keane (Republic of Ireland) – 68 Mechi 146
Zlatan Ibrahimović (Sweden) – 62 Mechi 116
Imre Schlosser (Hungary) – 59 Mechi 68
David Villa (Spain) – 59 Mechi 97
Jan Koller (Czech Republic) – 55 Mechi 91
Joachim Streich (East Germany) – 55 Mechi 102
Wayne Rooney (England) – 53 Mechi 117
Poul Nielsen (Denmark) – 52 Mechi 38
Jon Dahl Tomasson (Denmark) – 52 Mechi 112
Lajos Tichy (Hungary) – 51 Mechi 72
Hakan Sükür (Turkey) – 51 Mechi 112
Thierry Henry (France) – 51 Mechi 123
Robin van Persie (Netherlands) – 50 Mechi 101