Sunday, March 19, 2017

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 2 vs 1 SOUTHAMPTON


Huko Jijini London Uwanjani White Hart Lane, Tottenham Hotspur waliifunga Southampton 2-1 kwa Bao za Christian Eriksen na Penati ya Dele Alli huku Bao la Southampton likifungwa na James Ward-Prowse.
Ushindi huo umewachimbia Spurs Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 10 nyuma ya Vinara Chelsea, ambao walishinda jana bao 2-1.