Monday, March 13, 2017

FULL TIME EMIRATES FA CUP - CHELSEA 1 vs 0 MANCHESTER UNITED, KANTE AWATUNGUA UNITED WAKIWA 10 UWANJANI!!

1-0 Hadi dakika 90 zinakamilika Chelsea 1-0 Man United. Huku Man United wakiwa pungufu 10 Uwanjani baada ya mwenzao Ander Herrera kuondolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza.Kante akipongezwa kwa bao mapema kipindi cha pili dakika ya 51.Kadi nyekundu kwa Ander Herrera.Ander Herrera nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Eden Hazard kipindi cha kwanza. Rashford kuanza