Thursday, March 9, 2017

FULL TIME: ROSTOV 1 vs 1 MANCHESTER UNITED

http://a.espncdn.com/combiner/i/?img=/photo/2017/0309/r188715_1296x729_16-9.jpg&w=904&h=509&scale=crop&site=espnfcHenrikh Mkhitaryan dakika ya 35 aliwafungia bao safi Man United na mtanange kwenda mapumziko kwa bao hilo moja. Bao hilo limepatika kwa juhudi kubwa mbele ya Marouane Fellaini na Zlatan Ibrahimovic.