Saturday, March 18, 2017

MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND ULIVYO KWA SASA CHELSEA WANAONGOZA POINTI 13 KILELENI! ARSENAL IMEPOTEZA PIA!

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA: CHELSEA WAKO KILELENI.
Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1ChelseaChelsea2822333869
2Tottenham HotspurTottenham Hotspur2716833356
3Manchester CityManchester City2717552456
4LiverpoolLiverpool2816752555
5ArsenalArsenal2715572250
6EvertonEverton2914872150
7Manchester UnitedManchester United27131131750
8West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion2912710143
9Stoke CityStoke City299911-936
10SouthamptonSouthampton269611-233
11BournemouthBournemouth299614-1233
12West Ham UnitedWest Ham United299614-1233
13BurnleyBurnley299515-1132
14WatfordWatford288713-1531
15Leicester CityLeicester City288614-1430
16Crystal PalaceCrystal Palace288416-1028
17Swansea CitySwansea City298318-2727
18Hull CityHull City296617-3224
19MiddlesbroughMiddlesbrough2841113-1123
20SunderlandSunderland285518-2620
Mashabiki wa Arsenal leo wamembebea Mabango Meneja wao Arsene Wenger wakimtaka aachie ngazi kwenye Klabu hiyo huku wengine wakikodi Ndege wakimwekea ngumu hasiweze kuchukua Mikoba tena ya kuifundisha Timu hiyo ambayo leo imepigwa bao 3-1 na Timu Ndogo inayocheza Ligi Kuu England West Brom Albion.