Wednesday, March 29, 2017

PICHA: wachezaji wa simba wafanya mazoezi leo kwenye uwanja wa ntungamo jioni hii, KUPAMBANA NA KAGERA SUGAR JUMAPILI

Wachezaji wa Simba wakijifua leo hii jioni kujiandaa n mchezo dhidi ya Wenyeji wao Kagera Sugar Siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba. Picha zote na Faustine RutaMashabiki wakiwa makini kuwashuhudia Vinara wa Ligi Kuu Vodacom Simba kwenye Uwanja wa Ntungamo leo jioni mjini Bukoba.

Mashabiki