Wednesday, April 5, 2017

EPL: CHELSEA 2 vs 1 MANCHESTER CITY, EDEN HAZARD AWANYOOSHEA UBINGWA BLUES..

Bao la pili la Chelsea limefungwa kwa mkwaju wa penati na Eden Hazard na mtanange kwenda mapumziko Chelsea wakiongoza kwa bao 2-1 dhidi ya Manchester City.Chelsea v Man City, Arsenal v West Ham, EPL LIVE scoresShangwe!Bao la kwanza la Chelsea limefungwa mapema kipindi cha kwanza na Eden Hazard na Sergio Aguero aliisawazishia Man City kwa kufanya 1-1. Eden Hazard