Wednesday, April 5, 2017

EPL FULL TIME: ARSENAL 3 vs 0 WEST HAM UNITED

Bao la tatu kwa Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 83 na kuwa 3-0 dhidi ya West Ham United.


Bao la pili lilifungwa dakika ya 68 na Theo Walcottna kufanya bao kuongezeka kuwa 2-0 dhidi ya West Ham United.

Baada ya kumaliza kipindi cha kwanza 0-0 Arsenal walikuja na nguvu na Ari mpya na kuweza kujipatia bao la kuongoza kipindi cha pili dakika ya 58 kupitia kwa mshambuliaji wake Mesut Ozil na kufanya 1-0 dhidi ya Timu ngumu ya Wagonga nyundo West Ham United.