Sunday, April 23, 2017

epl: burnley 0 VS 2 manchester uniteD, ROONEY ARUDI UPYA NA KUFUNGA BAO NA MARTIAL AKITUPIA NA KUWAPA USHINDI UGENINI UNITED

Burnley v Man Utd, EPL LIVE SCOREBAO ZA MANCHESTER UNITED zimefungwa kiindi cha kwanza kupitia kwa Anthony Martial dakika ya (21') na lile la dakika 39 la Nahodha wao Wayne Rooney. Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Man United 2-0 dhidi ya wenyeji Burnleywanaoshikilia nafasi ya 15 kwenye msimamo wao wa Ligi Kuu England EPL 2016/2017.