Sunday, April 9, 2017

FULL TIME - EPL: SUNDERLAND 0 vs 3 MANCHESTER UNITED. ZLATAN, MKHITARYAN NA RASHFORD WAIPIGA SUNDERLAND NA KUITUPILIA ZAIDI MKIANI LEO!

3-0Henrikh Mkhitaryan akishangilia bao lake mbele ya Pogba baada ya muda mfupi kuanza kipindi cha pili. Bao limefungwa dakika ya 46.Jitihada za mchezaji matata wa Man United Zlatan Ibrahimovic dakika ya (30') zimeiwezesha kwenda mapumziko kwa 1-0 dhidi ya timu ya mkiani kwenye Ligi hiyo pendwa EPL Sunderland punde.
Sunderland wako pungufu uwanjani baada ya mchezaji mwenzao Sebastian Larsson kufanya rafu dakika ya 43.

Kipindi cha pili dakika 46 Henrikh Mkhitaryan aliwaongezea bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland.
VIKOSI:
Sunderland XI: Pickford, Jones, Kone, Denayer, Oviedo, Cattermole Ndong, Rodwell, Larsson, Defoe, Anichebe
Subs: Mannone Djilobodji, Borini, Khazri, Pienaar, Manquillo, Gibson
Man United XI: Romero, Darmian, Bailly, Rojo, Shaw, Fellaini, Pogba Mkhitaryan, Ander Herrera, Lingard, Ibrahimovic
Subs: Martial, Carrick, Blind, Rashford, Fosu-Mensah, Tuanzebe, Joel Pereira
Referee: Craig Pawson