LA LIGA: SPORTING GIJON 2 vs 3 REAL MADRID, ISCO AIPA USHINDI REAL UGENINI!
Isco dakika ya 90 aliifungia bao Real na kufanya bao kuwa 3-2 dhidi ya Timu wenyeji Sporting Gijón.Isco akifanya yake lleo UgeniniSporting Gijón Wamepata bao kipindi cha kwanza dakika 14 kupitia kwa Duje Cop (14') huku Real Madrid walisawazishiwa bao dakika ya 17 na Isco.
Kipindi cha pili dakika ya dakika ya 50 Sporting waliwapa bao la kuongoza la pili na kufanya 2-1 kupitia kwa Mikel Vesga.
Álvaro Morata
dakika ya (59') alipata krosi safi na kusawazisha bao hilo kwa kichwa na kufanya 2-2.