Saturday, April 29, 2017

LA LIGA: REAL MADRID 2 vs 1 VALENCIA

Marcelo
Bao za Real Madrid zimefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya (27') kipindi cha kwanza na bao la pili lilifungwa na Marcelo dakika ya (86').
Bao la Valencia lilifungwa na Daniel Parejo mwishoni dakika ya (82') na mtanange kumalizika kwa bao 2-1, Real wakiibuka na ushindi na kupaa kileleni kwa alama 3 dhidi ya Barcelona.