Wednesday, April 5, 2017

LA LIga: LEGANES 2 vs 4 REAL MADRID

BAO za Real Madrid zimefungwa ndani ya dakika 3 na bao la kwanza limefungwa na James Rodríguez dakika ya (15') na dakika tatu baadae wakapata bao lingine kupitia kwa kwa Álvaro Morata dakika ya (18')