Sunday, April 23, 2017

EL CLASICO: REAL MADRID 2 vs 3 BARCELONA, LIONEL MESS AIBEBA BARCA KUSHINDA DAKIKA ZA MAJERUHI!

Real Madrid Bao zake zimefungwa na  Casemiro (28')
James Rodríguez aliisawazishia bao dakika (85') na kufanya 2-2.
Sergio Ramos alioneshwa kadi nyekundu dakika ya (77')
Barcelona walifungiwa bao na 
Lionel Messi (33', 90'+2')
Ivan Rakitic (73')