Tuesday, April 4, 2017

FULL TIME : MANCHESTER UNITED 1 vs 1 EVERTON, ZLATAN IBRAHIMOVIC AOKOA POINTI DAKIKA ZA MAJERUHI OLD TRAFFORD

Jose Meneja wa Man United Timu yake ilipata sare ya 1-1 dakika za lala salama.Dakika za nyongeza kumaliza dakika 90 Zlatan Ibrahimovic aliisawazishia bao la mkwaju wa penati baada ya Mchezaji wa Everton kuufungua mpira kwa mkono ndani ya boksi. Mtanange umemalizika kwa sare ya bao 1-1.
Kikosi cha Man United kinachotegemewa kucheza na Everton Timu ya Zamani ya Wayne Rooney, Kikosi kimepangwa bila yeye Wayne Rooney. Huku Zlatan Ibrahimovic na Ander Herrera wakitegemewa kuanza kipindi cha kwanza, Paul Pogba na Luke Shaw wako benchi mchezo utakaopigwa ndani ya Dimba la Old Trafford usiku huu.
Image result for man united v everton