Wednesday, April 12, 2017

UEFA: BAYERN MUNICH 1 Vs 2 REAL MADRID, RONALDO AIUA PEKE YAKE BAYERN!

Ronaldo ndie kasawazisha bao dakika ya 47 kipindi cha pili na  lile la ushindi dakika 77. kinachofuata ni marudiano kwa Real Madrid wiki ijayo.Bao la kichwa dakikaya 25 kipindi cha kwanza la Arturo Vidal limewatangulia Bayern dhidi ya Real Kipindi cha kwanza kwa bao 1-0.Real wakipasha punde kabla ya mchezo kuanza