Saturday, April 15, 2017

FULL TIME VPL: TOTO AFRICANS 0 vs 0 SIMBA, MWAKA WA 7 MNYAMA SIMBA HAJAPATA USHINDI CCM KIRUMBA!


Katika timu ambazo zimekuwa vikwazo kwa Mnyama Simba basi Toto Africa ni miongoni mwa hizo timu, Simba imekuwa ikishindwa kufurukuta mbele ya ‘wana-kisha mapanda’ wa Mwanza hata Simba iwe katika ubora wa namna gani.