Tuesday, May 23, 2017

BONANZA LA KWAYA ZA VIJANA KUTOKA SHARIKA ZA KANISA LA MORAVIAN DAR LAFANA

Kikosi cha kwaya ya Usharika wa Mabibo (waliovaa jezi za Dark Blue) na kwaya ya Usharika wa Kinondoni (waliovaa jezi nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza

Mpira ukiwa unaendelea ambapo kwaya ya Kinondoni waliibuka kuwa washindi