Tuesday, May 2, 2017

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: REAL MADRID 3 vs 0 ATLETICO MADRID

Ronaldo akishangilia bao lake la mapema dakika ya 10 kipindi cha kwanza dhidi ya Atletico De Madrid.Cristiano Ronaldo dakika ya (10') anaipa bao la kuongoza Real Madrid.