Monday, June 5, 2017

CHEICK TIOTE AFARIKI DUNIA AKIWA KWENYE MAZOEZI

Mchezaji wa Kimataifa wa Ivory Coast na Mchezaji wa zamani wa Klabu ya England Newcastle United,  Cheick Tiote alikufa Jumatatu baada ya kuzirai wakati wa mazoezi na klabu  yake ya Beijing Enterprises. Tiote Alikuwa na miaka 30.