Thursday, June 29, 2017

COSAFA CUP: TANZANIA YASONGA MBELE HATUA YA ROBO FAINALI

Sasa Taifa Stars kucheza na wenyeji afrika kusini ikiwa ni baada ya kutoka 1-1 leo dhidi ya mauritius