Monday, June 12, 2017

GOR MAHIA YATWAA UBINGWA WA SUPER CUP, KUCHEZA NA EVER TON MWEZI UJAO.

Wachezaji wa Gor Mahia ya Kenya wakishangilia na kombe laobaada ya kuibuka mabingwa wa Kombe la SportPesa Super Cup katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Uhuru dhidi ya AFC Leopards. Gor Mahia imeshinda 3-0.

Beki wa Gor Mahia, Inocent Wafulla (kushoto), akichuana na mshambuliaji wa AFC Leopards katika mchezo wa fainali uliozikutanisha timu za Kenya.

Beki wa Gor Mahia, Horon Shakava (kushoto), akichuana na mshambuliaji AFC Leopards, Gilbert Fiamenyo katika mchezo wa fainali ya kombe la SportPesa Super Cup kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Gor Mahia ilishinda 3-0. (Picha na Francis Dande).