Monday, June 5, 2017

JUMA KASEJA: KAMA MECKY MEXIME ANAONDOKA KAGERA NA MIMI NAFASI YANGU NI NDOGO KUBAKIA

Mlinda mlango namba moja wa Timu ya Kagera Sugar, Juma Kaseja leo akiohojiwa na Kituo cha Azam Tv amedokeza kwa kusema kwamba kama Kocha Mecky Mexime anaondoka kwa Wanankurukumbi hao na yeye ana nafasi ndogo kubakia Klabuni hapo. Mexime anahusishwa kuhamia kwenye moja ya Klabu kubwa hapa Nchini.
Mlinda Mlango Juma Kaseja


Baadhi ya Wachezaji wa Kagera Sugar wakimpongeza Kocha wao Mecky Mexime kwenye moja ya Ushindi wao muhimu kwenye Uwanja wa Kaitaba mwaka huu 2017.

Mecky Mexime