Saturday, June 10, 2017

FULL TIME: TANZANIA 1-1 LESOTHO

Samata dakika ya 27 kwa Tanzania huku bao la Lesotho likifungwa na Thapelo Tale dakika ya 34 kipindi cha kwanza.
Kwa sasa kipindi cha pili bado ni 1-1.

Kipindi cha pili hakuna aliyeliona lango la mwenzie na mtanange kumalizika kwa sare ya bao 1-1.