Saturday, June 17, 2017

MOYO WA STAA CRISTIANO RONALDO BADO UPO MANCHESTER UNITED, SIR ALEX APANGA KUMREJESHA

Moyo wa Cristiano Ronaldo bado upo kwenye Klabu yake ya zamani  ya Manchester United, alisema rais wa zamani wa Real Madrid Ramon Calderon ... na Sir Alex Ferguson anaweza kushinikiza msingi wa uhamisho huo kwani yeye pia ndie aliyefanikisha staa huyo kutua spain mwaka 2009.
David De Gea anaweza kutumika kama chambo kwamba kama atarejea nae Real Madrid msimu huu.
Sir Alex Ferguson holds the key to Cristiano Ronaldo’s Manchester United return
Sir Alex Ferguson ndio ufunguo wa Manchester United kwa  Cristiano Ronaldo kurudi ndani ya Old Trafford.Ramon Calderon