Tuesday, July 11, 2017

ALEXANDRE LACAZETTE AJUMUIKA NA WANAGUNNERS WENZAKE NA KUJIFUA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA 2017/18

Alexandre Lacazette ajifua na wenzake kujiandaa vema na Msimu wa 2017/2018.
Arsenal wamethibitsha  Lacazette jezi namba  9 ambayo mara ya mwisho ilivaliwa na  Lukas Podolski huku Sead Kolasinac  akivaa jezi namba 31.


Alexandre Lacazette

Lacazette na Kogarah

Lacazette (kulia) na Sead Kolasinac

Lacazette
Lacazette (wa pili) akiwa karibu na Donyell Malen, Reiss Nelson (wa pili kushoto) na Ainsley Maitland-Niles (kulia) huko Sydney

Aaron Ramsey
Mesut Ozil

Mohamed Elneny

Theo Walcott
Alex Iwobi, Danny Welbeck, Ainsley Maitland-Niles na Sead Kolasinac wakijiandaa kujifua kwenye mazoezi.