Saturday, July 15, 2017

CHAN 2017/18:FULL TIME: TANZANIA 1 vs 1 RWANDA, NAHODHA HIMID MAO AOKOA JAHAZI CCM KIRUMBA!

Bao kwa Rwanda dakika ya 17 kupitia kwa Dominique Nshuti na bao la kusawazisha kwa Tanzania ni la mkwaju wa penati kupitia kwa Himid Mao Nahodha dakika ya 34, Na mtanange kwenda mapumziko wakiwa nguvu sawa ya bao 1-1. 

Mpaka dakika 90 zinakamilika Rwanda (Amavubi) 1 na Tanzania (Taifa Stars) 1.