Tuesday, July 11, 2017

EVERTON WAJITAYARISHA KUMNUNUA CHRISTIAN BENTEKE

Image result for christian benteke to evertonBaada ya kumuuza Romelu Lukaku kwa Manchester United, Everton sasa wako mbioni kumnunua Straika wa Crystal Palace Christian Benteke ili ajumuike na Wachezaji wao wengine Wapya Sandro Ramirez na Wayne Rooney.

Benteke, ambae pia anafuatiliwa na Chelsea, aliihamaLiverpool na kwenda Palace Msimu uliopita ambako aliifungia Bao 17.