Monday, July 3, 2017

JOHN TERRY ATUA ASTON VILLA

Aston Villa yamsaini Kepteni wa zamani wa Chelsea na England John Terry. 
John Terry, mwenye Miaka 36, amesaini kuichezea Aston Villa ambayo sasa inacheza Daraja la chini yake EPL, LIGI KUU ENGLAND.
Terry, ambae Mkataba wake na Chelsea uliisha Juni 30, amedai alikataa kuchezea Klabu za EPL kwa vile hataki kuikabili Chelsea.
Akiwa na Chelsea, Terry aliichezea Mechi 717 na kutwaa Ubingwa wa EPL mara 5
Related imageJOHN TERRYImage result for JOHN TERRY TO ASTON VILLA