Thursday, July 13, 2017

FULL TIME, GOR MAHIA 1-2 EVERTON, DOWELL AIPA USHINDI EVERTON UWANJA WA TAIFA LEO, ROONEY HAWA KIVUTIO TOSHA!
Kipindi cha kwanza dakika ya 34 Wayne Rooney aliifungia bao la kuongoza Everton kwa shuti kali lililomkuta kipa wa GOR Mahia akiwa nje kidogo ya lango lake,  Bao hilo halikudumu dakika ya 37 Tuyisenge aliisawazishia bao Gor Mahia baada ya kuunganisha mpira wa kona na kufanya 1-1. Mpaka mapumziko ya mtanange huu wa kirafiki unakoma kipindi cha kwanza Everton 1 na Gor Mahia 1.
Bao la pili lilifungwa na Dowel dakika ya 81 na mtanange kumalizika Everton wakiibuka na ushindi wa bao 2-1