Sunday, July 30, 2017

NEMANJA MATIC SASA NI WA MAN UNITED, KUVAA JEZI NAMBA 31


Nemanja Matic ameonekana kuwa wazi kuipenda Man United

United kuilipa Chelsea £40million
Matic kuungana na Kocha wake wa zamani wa Chelsea  Jose Mourinho ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Man United huko  Old Trafford.
Nemanja Matic alivalia jezi No 31, jezi ambayo ilikuwa inavaliwa na Bastian Schweinsteiger