Tuesday, July 11, 2017

ROMELU LUKAKU ATAMBA KUMKOSHA KOCHA WAKE JOSE MOURINHO, AJIFUA NA WENZAKE MAREKANI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA 2017/2018

Romelu Lukaku wore a red sleeveless bib as he trained just hours after being unveiled at the world's most expensive strikerMchezaji mpya wa Man United Romelu LukakuMchezaji Mpya wa Manchester United Romelu Lukaku ametamba kuwa yupo tayari ‘kutoboa Ukuta’ kwa ajili ya Jose Mourinho.
Jana Lukaku alijumuika kwa mara ya kwanza na Kikosi cha Man United ambacho kipo Mazoezini huko UCLA Jijini Los Angeles, USA.

Lukaku holds off a challenge from Spanish midfielder Ander Herrera as Jesse Lingard and Paul Pogba watch on Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Lukaku na Mourinho kufanya kazi pamoja baada ya kuwa wote huko Chelsea.
Alipoulizwa kama Mourinho alichangia kwa yeye kuhamia Man United, Lukaku alijibu: Yeah, alichangia. Tuna uhusiano mzuri na nipo tayari kupenya Ukutani kwa ajili yake.

Lukaku prepares to control the ball during his first session as a Manchester United player at UCLA's Drake StadiumJana ndipo Lukaku alikuwata na wenzake Marekani kwenye mazoeziLukaku worked up a sweat for the first time as a United player in the Los Angeles sunshine on Monday afternoonLukaku controls the ball under close attendance from fellow United striker Marcus Rashford during one particular drillLukaku and Paul Pogba were in action for the first time as team-mates - the pair share the same agent in Mino RaiolaLukaku na Paul Pogba