Wednesday, July 12, 2017

TAIFA STARS WAFANYA MAZOEZI LEO NYAMAGANA

Timu ya soka ya Taifa, Taifa stars leo imefanya mazoezi yake ya kwanza katika Uwanja wa Nyamaggana kwaajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Rwanda mchezo ambao ni maalumu kwa wachezaji wanaocheza soka la ndani maarufu kam chan Stars waliinfia Mwanza jana jumatatu usiku majira ya saa 2 usiku na kufikia hotel ya Isamilo Loge.